Malengo Yetu, Nguvu Yetu

Smart VICOBA ya Kwanza Tanzania

Weka akiba pamoja. Kua pamoja. Benki ya kijamii ya kidijitali iliyojengwa kwenye mfumo wa VICOBA - jiunge kupitia simu yako kwa dakika chache.

0+ Wanachama
0+ Maombi
0 Mikoa
Kuhusu Sisi

JUCOBA ni nini?

JUCOBA (Jupiter Community Bank) ni jamii ya kidijitali ya VICOBA inayowaunganisha watu wenye malengo yanayofanana ili kuweka akiba, kukopeshana na kufanikiwa pamoja. Tunachanganya nguvu ya kikundi cha jadi cha VICOBA na urahisi wa teknolojia — usajili, michango na taarifa zako, vyote kupitia simu yako.

Jifunze zaidi

Circles

Chagua circle inayolingana na uwezo wako — kuanzia TZS 40,000 kwa mwezi.

M-Koba

Miamala yote kwa usalama kupitia namba yako ya Vodacom.

Uwazi

Kampuni iliyosajiliwa rasmi Tanzania yenye leseni ya biashara na TIN.

Malengo

Nyumba, mtaji, elimu, usafiri — kila mwanachama na lengo lake.

Circles za uanachama

Chagua kasi yako

Silver Circle

TZS 40,000 – 79,999 / kwa mwezi

Hisa za mwezi

Nickel Circle

TZS 80,000 – 159,999 / kwa mwezi

Hisa za mwezi

Popular

Gold Circle

TZS 160,000 – 199,999 / kwa mwezi

Hisa za mwezi

Diamond Circle

TZS 200,000 – 399,999 / kwa mwezi

Hisa za mwezi

Tanzanite Circle

TZS 400,000+ / kwa mwezi

Hisa za mwezi

Kuwa Mwanachama

Jinsi ya kuwa mwanachama

1

Jaza fomu

Kamilisha fomu ya maombi mtandaoni kwa simu au kompyuta.

2

Lipia ada

Lipia ada ya usajili kwa usalama kupitia mitandao ya simu.

3

Pata uthibitisho

Pokea namba yako ya kumbukumbu na fomu yako ya uanachama.

4

Anza kuweka akiba

Jiunge na circle yako na anza kujenga malengo yako.

Anza maombi yako

Wasiliana nasi

Tuko hapa kukusaidia

Tuma ujumbe wako — tutaendelea na mazungumzo moja kwa moja kwenye WhatsApp.

  • Kipunguni, Kipawa, Dar es Salaam
  • info@jucoba.co.tz
  • 255763009146