Kuwa Mwanachama

Fomu ya Maombi ya Uanachama

Karibu kwenye jamii ya kidijitali inayowaunganisha watu wenye malengo yanayofanana.

Hatua /

A

Taarifa Binafsi

Taarifa unazojaza huhifadhiwa kiotomatiki ili uweze kuendelea baadaye. JUCOBA inaweza kukupigia simu kukusaidia kukamilisha usajili.

Liandikwe kama lilivyosajiliwa kwenye laini ya Vodacom itakayotumika kwa M-Koba.
Uanachama umelenga watu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea. Endelea tu kama una uhakika wa tarehe hii.
B

Anwani na Mawasiliano

Namba hii lazima iwe imesajiliwa kwa majina yako na ndiyo itakayotumika kwa shughuli zote za kifedha ndani ya JUCOBA.
C

Chagua Circle Yako

Chagua circle kwanza.

Leo unalipa Kiingilio TZS 30,000 pekee. Ada ya uanachama (TZS 20,000) na mfuko wa jamii (TZS 12,000) hulipwa baadaye baada ya kujiunga.

Malipo ya awali
Kiingilio TZS 30,000
Membership Fee (Miezi 4) — baadaye TZS 20,000
Welfare Fund (Miezi 4) — baadaye TZS 12,000
Kinacholipwa leoTZS 30,000
D

Kazi na Malengo

TZS 100,000 kwa mwezi hadi TZS 3,500,000 — Pikipiki / Bodaboda
TZS 300,000 kwa mwezi hadi TZS 10,500,000 — Bajaji
TZS 500,000 kwa mwezi hadi TZS 18,000,000 — Gari

Viwango hivi ni mifano ya uwezekano, si ahadi. Uwezeshaji hutolewa kwa mujibu wa vigezo na masharti ya JUCOBA. Michango ya kila mwezi hairekodiwi kwenye mfumo huu — inashughulikiwa na JUCOBA moja kwa moja.

TZS 60,000 kwa mwezi hadi TZS 2,000,000
TZS 150,000 kwa mwezi hadi TZS 5,000,000
TZS 300,000 kwa mwezi hadi TZS 10,000,000
TZS 600,000 kwa mwezi hadi TZS 20,000,000
TZS 1,000,000 kwa mwezi hadi TZS 30,000,000

Viwango hivi ni mifano ya uwezekano, si ahadi. Uwezeshaji hutolewa kwa mujibu wa vigezo na masharti ya JUCOBA. Michango ya kila mwezi hairekodiwi kwenye mfumo huu — inashughulikiwa na JUCOBA moja kwa moja.

TZS 50,000 kwa mwezi hadi TZS 1,500,000
TZS 100,000 kwa mwezi hadi TZS 3,000,000
TZS 200,000 kwa mwezi hadi TZS 6,000,000
TZS 300,000 kwa mwezi hadi TZS 9,000,000
TZS 500,000 kwa mwezi hadi TZS 15,000,000

Viwango hivi ni mifano ya uwezekano, si ahadi. Uwezeshaji hutolewa kwa mujibu wa vigezo na masharti ya JUCOBA. Michango ya kila mwezi hairekodiwi kwenye mfumo huu — inashughulikiwa na JUCOBA moja kwa moja.

E

Wanufaika na Dharura

Mtu wa Kuwasiliana Naye Dharura

Wanufaika wa Manufaa ya JUCOBA

Jumla ya mgawo wa wanufaika wote lazima iwe 100%.

F

Tamko la Mwombaji

Kwa kubofya "Wasilisha Maombi" unakubali pia Vigezo na Masharti · Sera ya Faragha